
1,228 views
Serikali yazindua mwongozo mpya wa matibabu ya saratani
Kwa muda mrefu, kugunduliwa kuwa na saratani nchini kumekuwa changamoto kubwa kwa wagonjwa, kutokana na madhila ya ugonjwa wenyewe, gharama za matibabu na changamoto katika mfumo wa afya zinazochelewesha upatikanaji wa huduma kwa wakati. Sasa, Wizara ya Afya imezindua Mwongozo wa Kitaifa wa Matibabu ya Saratani wa mwaka 2026, ambao ni marekebisho makubwa ya kwanza tangu mwaka 2019. Brenda Wanga anatufafanulia umuhimu wa mwongozo huu kwa takriban Wakenya elfu 45 wanaogunduliwa kuwa na saratani kila mwaka.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo