
4,716 views
Washirika wa Ruto waishutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
Wandani wa kisiasa wa rais William Ruto wameendelea kuwarushia vijembe viongozi wa upinzani, wakidai wanajaribu kukandamiza uhuru wa tume ya IEBC. Katika kaunti ya Vihiga, viongozi hao walisema kuwa upinzani umekosa sera za kuwauzia wakenya na badala yake kutafuta namna na kuvuruga uchaguzi wa mwaka ujao. Viongozi hao aidha walitoa wito kwa wakenya kufanya uamuzi kulingana na utendakazi wa wagombea ili kuimarisha hadhi ya maisha yao.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo