
8,173 views
Gachagua aishutumu IEBC kwa madai ya njama ya wizi wa kura
Kinara wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, ameishutumu Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kwa kushirikiana na Wizara ya Usalama wa Ndani, hususan Katibu Mkuu katika wizara hiyo, Dkt. Raymond Omollo, kufanya mikutano ya siri na maafisa wa IEBC katika maeneo ya Kaskazini mwa Kenya na Nyanza. Gachagua anadai kuwa kuna njama ya kuiba kura katika uchaguzi ujao, akitishia kuwa Wakenya wataandamana katika afisi zote za IEBC nchini kuanzia Januari mwaka ujao.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo