
3,890 views
Mzozo wa ardhi ya Kirima Njiru waathiri zaidi ya wakazi laki tano
Katika eneo la Njiru jijini Nairobi, mzozo wa umiliki wa ardhi uliothibitishwa na mahakama kuwa la Gerishon Kirima sasa unahusisha zaidi ya wakazi laki tano. Familia zilizonunua vipande vya ardhi na kujenga makao kwenye shamba hilo zinaomba kuruhusiwa kulipa na kusalia katika ardhi hiyo. Hata hivyo Familia ya Kirima inadai malipo kwa ardhi ambayo inasema iliuzwa kinyume cha sheria. Hata hivyo Wakazi wanaogopa ada zinazopendekezwa na sasa wanataka serikali iingilie kati.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo