
1,470 views
Murkomen awataka viongozi wa upinzani kuacha kuishinikiza IEBC
Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amewataka viongozi wa upinzani kukomesha kile anasema ni juhudi zao za kuitishia Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini IEBC. Murkomen badala yake akiitaka IEBC kufanya kazi yake ya kikatiba bila kutishiwa na yeyote. Aidha, Waziri Murkomen amewaonya wanasiasa wanaoendeleza uchochezi, kama Maryanne Nyambura anavyoripoti.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo