
1,232 views
Matumizi ya teknolojia kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi Kitengela
Kaunti ya Kajiado ni miongoni mwa maeneo kame nchini na ukulima huwa ni changamoto kubwa kutokana na ukosefu wa mvua ya kutosha. Lakini mkulima mmoja katika eneo la Kitengela amebadilisha taswira ya kilimo katika eneo hilo. Matumizi ya teknolojia ya kisasa kama stesheni ya utabiri wa hali ya hewa na mitambo ya kisasa ya kupima ubora wa mchanga yamemsaidia kufanya maamuzi bora ya kilimo chake cha maharagwe ya kifaransa maarufu mishiri na nyanya licha ya makali ya mabadiliko ya tabia nchi.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo