
978 views
Wataalamu wa afya Ngong wataka serikali kuongeza dawa za kisukari na shinikizo la damu
Idadi ya wagonjwa wa kisukari na shinikizo la damu inaendelea kuongezeka nchini, huku baadhi ya wagonjwa wakigunduliwa kuwa na maradhi hayo katika hatua za juu. wataalamu wa afya huko Ngong kajĩado kaskazini,sasa wanaitaka serikali kuongeza msaada wa dawa za kisukari, huku wakihimiza wananchi kupimwa mapema ili kudhibiti madhara yanayotokana na maradhi hayo.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo