
1,771 views
Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti
Wazazi kutoka mitaa ya mabanda ya Huruma eneo bunge la Turbo kaunti ya Uasin Gishu, wamepongeza kufutiliwa mbali kwa kesi iliyokuwa imepiga breki kutolewa kwa basari za kaunti. Wakizungumza walipopokezwa ufadhili wa elimu wamesema hatua hiyo iliwaathiri wazazi wenye mapato ya chini kwa kukosa karo.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo