
11 views
Ruto aongeza Sh5 bilioni kwa hazina ya Hustler
Rais William Ruto ametangaza nyongeza ya shilingi bilioni 5 kwa Hazina ya Hustler. Rais pia amesema kiwango cha juu cha mkopo kitaongezwa hadi shilingi 150,000 ili kuwanufaisha wafanyabiashara wadogo. Tangazo hilo linajiri huku kukiwa na wasiwasi kuhusu ulipaji wa mikopo hiyo, huku ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ikionyesha kuwa mikopo ya Hustler yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 13 ilikuwa bado haijalipwa kufikia mwezi Juni mwaka jana.
- IEBC yataja gharama na vikwazo vya kisheria kuhusu kutangaza moja kwa moja matokeo ya urais 2027
- UNSA President Ahmed Rashid responds after video showing him and goons manhandling people emerges
- KNH health workers down tools over salary delays and welfare grievances
- Ogamba launches 52-member task team to address rising school unrest
- IEBC cites high costs in possible shift from livestreaming 2027 election results
- Police clash with Katani residents protesting poor roads
- Mchuano wa soka wa taifa Super Cup waanza leo katika uwanja wa serani kaunti ya Mombasa
- Viongozi wa Kenya Kwanza Bonde la Ufa washambulia upinzani kwa kususia mazungumzo na IEBC