
196 views
Viongozi wa Kenya Kwanza Bonde la Ufa washambulia upinzani kwa kususia mazungumzo na IEBC
Viongozi wa kenya kwanza kutoka bonde la Ufa wameendelea kushambulia upinzani wakidai wanaingili kazi ya IEBC. Viongozi hao wametaja hatua ya hivi majuzi ya upinzani kususia kikao na tume ya IEBC, kuwa ya kufedhehesha na kuwataka kuyapa mazungumzo nafasi.
- Mchuano wa soka wa taifa Super Cup waanza leo katika uwanja wa serani kaunti ya Mombasa
- Viongozi Nyanza washtumu ODM kwa kudunisha vyama vingine
- Kenya yaanza kuchagua wawakilishi wa kupanga mwelekeo ya maendeleo baada ya 2030
- Wazazi Trans Nzoia watakiwa kuwajibika kuzuia ongezeko la watoto wa mitaani
- Wazazi watakiwa kuwalinda watoto dhidi ya dhuluma wakati wa likizo
- Kaunti ya Trans Nzoia yazindua kituo cha kuwasaidia waathiriwa wa dhuluma za kijinsia
- Wakazi Lokichar wataka usalama kuimarishwa kabla ya usafirishaji wa mafuta ya Turkana kuanza
- Wakazi Isiolo wataka sheria ya kuwafidia wajane na mayatima waathiriwa wa mashambulizi ya majambazi