
279 views
Viongozi Nyanza washtumu ODM kwa kudunisha vyama vingine
Baadhi ya viongozi wanaoegemea vyama vingine eneo la nyanza wameshtumu vikali wenzao wa chama cha ODM katika kaunti ya Homa bay kwa kudhalilisha na kudunisha vyama vyao kwenye vikao mbali mbali vya kisiasa.
- Mchuano wa soka wa taifa Super Cup waanza leo katika uwanja wa serani kaunti ya Mombasa
- Viongozi wa Kenya Kwanza Bonde la Ufa washambulia upinzani kwa kususia mazungumzo na IEBC
- Kenya yaanza kuchagua wawakilishi wa kupanga mwelekeo ya maendeleo baada ya 2030
- Wazazi Trans Nzoia watakiwa kuwajibika kuzuia ongezeko la watoto wa mitaani
- Wazazi watakiwa kuwalinda watoto dhidi ya dhuluma wakati wa likizo
- Kaunti ya Trans Nzoia yazindua kituo cha kuwasaidia waathiriwa wa dhuluma za kijinsia
- Wakazi Lokichar wataka usalama kuimarishwa kabla ya usafirishaji wa mafuta ya Turkana kuanza
- Wakazi Isiolo wataka sheria ya kuwafidia wajane na mayatima waathiriwa wa mashambulizi ya majambazi