
52 views
Vijana pwani wahimizwa kujiandikisha kuwa wapiga kura
vijana eneo la pwani wamehimizwa kujiandikisha kuwa wapiga kura ili kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu ujao. Wakizungumza mjini Voi kaunti ya Taita Taveta, wanachama wa vyama vya UDA na ODM pia wametetea serikali jumuishi wakisema imeleta usawa na utulivu wa kisiasa nchini.
- Polisi Mtwapa kaunti ya Kilifi wanasa kilo 315 za bangi zenye thamani ya Sh milioni 10
- Kiongozi wa Kenya Moja Movement Askofu Margaret Wanjiru ajitosa rasmi kuwania ugavana Nairobi
- Bunge la Kajiado lapanga kuwawezesha vijana na kuongeza uwazi katika miradi ya kaunti
- Viongozi wa wakulima wa miraa Meru wamtaka Ruto asaidie kubadili sheria ya miraa
- Makasisi kuanti ya Uasin Gishu walalamikia uraibu wa dawa za kulevya miongoni mwa vijana
- Utafiti wa Afrobarometer umeibua wasiwasi kuhusu kudidimia kwa nafasi ya kidemokrasia nchni
- Familia zaidi ya 500 Wajir zanufaika na kambi ya matibabu bila malipo
- Kaunti ya Kirinyaga yaajiri walimu 405 wa chekeche kwa ajira za kudumu