
3,212 views
Rais Ruto amhimiza Kalonzo kugura upinzani na kujiunga na serikali
RAI ZA RAIS Rais William Ruto amemrai kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka kujiunga na serikali jumuishi kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza katika eneo la Tseikuru huko Mwingi kaskazini kaunti ya Kitui, ambako alizindua mradi wa ujenzi wa barabara, rais Ruto alisema yuko tayari kushirikiana na Kalonzo Musyoka ambaye wakati mmoja alikuwa naibu rais kwa ajili ya umoja na uthabiti wa taifa hili. Giverson Maina na taarifa hii kwa utendeti. #Darubini Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
- 2 petitioners seek to halt procurement of General Election technology
- Nyoro says live transmission of election results in 2027 is non-negotiable
- CoG questions MoH directive to remove M-Pesa Paybill numbers from county health facilities
- MoH, health stakeholders intensify Ovarian Cancer awareness efforts
- EACC calls for stronger stricter candidate vetting ahead of 2027 polls
- Government says oil exploitation will begin in December
- Two people killed in a gas cylinder explosion in Mombasa
- President Ruto launches Sh503 million Kimilili-Kapsokwony road in Bungoma