
20,093 views
Ruto asema hatajidhalilisha kwa Rigathi Gachagua ili kupata kura za eneo la Mlima Kenya.
Ruto, aliyerejea eneo hilo baada ya zaidi ya miezi sita na kuzuru Kaunti ya Kiambu, amesema amelipa deni lake la kisiasa kwa wakazi wa Mlima Kenya. Kama anavyoripoti Emmanuel Too, rais amesema amefikisha miradi ya maendeleo yenye thamani ya mabilioni ya fedha katika eneo hilo, akitekeleza makubaliano ya mwaka wa 2022.
- Nairobi City Thunder miss out on third consecutive BAL qualification
- NCBA Group’s profit after tax rises 14.5% to KSh18.8 billion
- Police mental health: Addressing the trauma behind the uniform
- Three killed in Salama road accident along Mombasa–Nairobi Highway
- Broad-based leaders criticise opposition over attacks on IEBC
- Uraia Trust report exposes gap between Kenyans’ priorities and government agenda
- Report highlights disconnect between Kenyans’ priorities and government agenda
- Obado awasilisha ilani ya kukata rufaa dhidi ya hukumu ya miaka 25