
1,687 views
Watu-23 waangamia kufuatia ajali ya barabarani huko Kanga, karibu na Mtito Andei
Watu 23 wamefariki dunia katika ajali mbaya ya basi iliyotokea katika eneo la Kanga, lililo karibu na Mtito Andei kwenye barabara kuu ya Voi–Nairobi, huku wengine 25 wakipokea matibabu kutokana na majeraha. Ajali hiyo iliyotokea majira ya saa moja na dakika arubaini na tano asubuhi ilitokea baada ya basi lililokuwa likisafirisha abiria kutoka kwenye hafla ya mazishi magharibi mwa Kenya kugongana ana kwa ana na lori. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
- 2 petitioners seek to halt procurement of General Election technology
- Nyoro says live transmission of election results in 2027 is non-negotiable
- CoG questions MoH directive to remove M-Pesa Paybill numbers from county health facilities
- MoH, health stakeholders intensify Ovarian Cancer awareness efforts
- EACC calls for stronger stricter candidate vetting ahead of 2027 polls
- Government says oil exploitation will begin in December
- Two people killed in a gas cylinder explosion in Mombasa
- President Ruto launches Sh503 million Kimilili-Kapsokwony road in Bungoma