
36 views
Wadau wa utalii wapigia upatu uwekezaji wa miradi mashinani ili kuinua uchumi na kubadili sura ya sh
Wadau katika sekta ya utalii nchini Kenya wametoa wito kwa serikali pamoja na wafadhili kuongeza uwekezaji wa miradi ya kitalii maeneo ya mashinani kama njia ya kukuza uchumi na kupunguza umaskini. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mipango ya ujenzi wa kiwanja cha kisasa cha gofu na hoteli za kifahari katika eneo la Kalongoni, Shakahola (Kaunti ya Kilifi), wadau hao wamebainisha kuwa hatua hii itafungua nafasi za ajira na kuboresha miundo mbinu.
- KUPPET vows to fight for better teachers' pay, promotions and working conditions
- Mombasa county to equip 250 vocational training graduates with tools to start businesses
- Western Kenya clergy demand security guarantees ahead of 2027 elections, declare support for Ruto's
- Government scraps repeated SHA approvals for cancer treatment, easing access for 54,465 patients
- PS ololtuaa commends multi agency team for successful completion of 2026 KCSE exams
- Shipping agents urge government to expand and modernise Mombasa and Lamu ports
- IG kanja warns politicians against using criminal gangs to fuel violence
- Duale hails growth of Garissa university as student population rises to 7,800