
384 views
Linda Mwananchi Wamtaja Edwin Sifuna kama Mgombea Anayefaa Kupeperusha Bendera ya Upinzani 2027
Mrengo wa Linda Mwananchi umesema kuwa, seneta wa kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna, ana bora ya kupeperusha bendera ya upinzani katika uchaguzi wa urais wa mwaka 2027. Hata hivyo, uongozi wa chama hicho, ambao ulizinduliwa siku ya Ijumaa, uliweka ahadi ya kuunga mkono mgombea urais mmoja pekee. Waliyasema hayo leo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kaunti ya Kwale. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
- 2 petitioners seek to halt procurement of General Election technology
- Nyoro says live transmission of election results in 2027 is non-negotiable
- CoG questions MoH directive to remove M-Pesa Paybill numbers from county health facilities
- MoH, health stakeholders intensify Ovarian Cancer awareness efforts
- EACC calls for stronger stricter candidate vetting ahead of 2027 polls
- Government says oil exploitation will begin in December
- Two people killed in a gas cylinder explosion in Mombasa
- President Ruto launches Sh503 million Kimilili-Kapsokwony road in Bungoma