
1,594 views
Familia za Riruta Satellite zatakiwa kuhama jumba hatari
Makumi ya familia katika mtaa wa Riruta Satellite wameachwa kwenye njia panda baada ya kutakiwa kuhama mara moja kwenye jumba walimokuwa wakiishi. Serikali ya Kaunti ya Nairobi ikisema jumba hilo ni hatari na kusema halifai kuwa na wapangaji kwani limeanza kupata mianya. Sasa wakazi hawa wakilazimika kuanza kujipanga upya kutafuta makao, kama Brenda Wanga anavyoarifu.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo