
817 views
Viongozi wa Kenya Kwanza wamtaka Kalonzo kujiunga na Ruto
Viongozi wanaounga mkono serikali sasa wanasema kiongozi wa Wiper alipangiwa na wenzake wa upinzani kudhalilishwa katika hafla ya Linda Mwananchi jijini Nairobi. Wakizungumza maeneo tofauti nchini, viongozi hao wamemrai Kalonzo kuungana na serikali ili asikosewe heshima. Hayo yamejiri huku wandani hawa wa Rais William Ruto wakimpigia debe kwa muhula mwingine kwenye hafla mbalimbali Narok na Magharibi mwa Kenya. Chrispine Otieno anaarifu.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo