Homa ya Marbug Tanzania | Watu watano waripotiwa kufariki

  • | KBC Video
    53 views

    Maafisa wa afya nchini Tanzania wamethibitisha kuwa watu wanane wameambukizwa homa ya Marburg huku watu watano wakifariki. Waziri wa afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema serikali imeweka mikakati ya kudhibiti chamuko la homa hiyo. Kufikia sasa hakuna chanjo au tiba ya homa hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News #homayamarbug