Mahakama kuu yasimamaisha uteuzi uliofanywa na Rais Ruto katika baraza la taifa

  • | K24 Video
    76 views

    Mahakama kuu leo imesimamaisha uteuzi uliofanywa na rais William Ruto katika baraza la taifa la mabadiliko ya tabia nchi. Jaji Mugure thande ametoa uamuzi huo wa kuwazuia Emily Mwende Waita, John Kioli, Umar Omar na George Odera Outa, dhidi ya kuchukua nyadhifa katika baraza hilo hadi kesi hiyo itakaposikizwa na kuamuliwa. mashirikia mawili yalielekea mahakamani yakidai uteuzi huo wa rais haukufuta sheria na haukuhusisha umma.