Watu 6 zaidi waaga dunia kutokana na mafuriko na kufikisha 76

  • | KBC Video
    237 views

    Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko imeongezeka hadi 76 baada ya watu sita zaidi kufariki kufuatia mafuriko katika maeneo kadhaa humu nchini. Wengine 19 bado hawajulikani waliko huku wengine 29 wakiuguza majeraha waliyoyapata kutokana na athari za mvua hiyo kubwa inayoendelea kunyesha. Haya yanajiri huku serikali ikiimarisha juhudi za kuwaokoa wale waliokwama kwenye maeneo yaliyofurika na kutoa wito kwa wale walio katika maeneo yaliyoorodheshwa kuwa yataathirika na mafuriko kuhamia sehemu salama. Timothy Kipnusu na maelezo zaidi kuhusu maafa na uharibifu uliosababishwa na mvua hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive