Skip to main content
Skip to main content

Je vita vya Gaza na Israel vimekwisha?

  • | BBC Swahili
    10,606 views
    Duration: 2:08
    Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza vita vya Gaza vimefikia mwisho baada ya kutia saini makubaliano ya usitishaji mapigano huko Sharma el Sheikh nchini Misri. Lakini je vita kati ya Israel na Hamas vimeisha? @mariammjahid anaangazia taarifa hii - - #bbcswahili #gaza #israel #marekani #vita