- 161,614 viewsDuration: 28:11Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameapishwa kwa muhula wa pili huku kukiwa na ulinzi mkali, kufuatia uchaguzi uliokumbwa na maandamano yenye ghasia na kukataliwa na upinzani kuwa sio huru na wa haki. Suluhu, mwenye umri wa miaka 65, alikula kiapo chake mbele ya Jaji Mkuu Ibrahim Hamis Juma, akiahidi "kulinda na kutetea Katiba na umoja wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania." Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw