Skip to main content
Skip to main content

Je, Tume ya Oktoba 29 itajibu maswali magumu kuhusu vurugu za uchaguzi? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    23,894 views
    Duration: 28:11
    Mwenyekiti wa Tume huru ya uchunguzi iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchunguza matukio ya Oktoba 29, Jaji Othman Chande, amesema tume yake itafanya uchunguzi wa kina na wa wazi, huku ikiomba ushirikiano kutoka kwa makundi yote yanayohusika moja kwa moja au kwa njia isiyo ya moja kwa moja na matukio hayo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw