Skip to main content
Skip to main content

Rais Trump ana imani kwamba vita vya Urusi na Ukraine vitaisha karibuni, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    23,701 views
    Duration: 28:10
    Rais wa Ukraine Volodymr Zelensky ameliambia bunge la Uholanzi kwamba Urusi inahitaji kuwajibishwa kwa kuishambulia Ukraine. Viongozi wa Umoja wa Ulaya wataamua baadaye wiki hii ikiwa mali ya Urusi iliyozuiliwa inaweza kutumika katika kufidia Ukraine. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw