- 4,575 viewsDuration: 1:26Mashindano ya 35 ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON2025) yanaanza leo Jumapili ya Tarehe 21 Disemba mjini Rabat, Morocco. - Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limetangaza kwamba mashindano hayo yatafanyika kila baada ya miaka minne kuanzia 2028. - Mashindano yajayo yatakuwa mwaka 2027 yakiandaliwa kwa pamoja na Kenya, Tanzania na Uganda na kisha mwaka 2028 kabla ya mabadiliko. - Mwanamichezo wa BBC Omar Mkambara tayari ametua Morocco na ametuandalia taarifa hii kuhusu lugha zitakazosikika wakati wa mashindano haya ya CAF. - - - #bbcswahili #AFCON2025 #morocco2025 #michezo #foryou Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw