Skip to main content
Skip to main content

"Krismasi si 'Birth Day' ya kawaida,pikeni muwaalike majirani mle pamoja'' -Kanisa Katoliki Tanzania

  • | BBC Swahili
    7,095 views
    Duration: 2:31
    'Ni kipindi ambacho tunabadilisha hata vyakula, Chinjeni lakini tusile wenyewe pale nyumbani, tuwaalike majirani tule pamoja ili wajiulize kwanini na tunaalikwa' - Rev Clement Kihiyo kutoka idara ya Litruja ya kanisa Katoliki Tanzania ametoa ujumbe huu wa Noeli kwa wakristo. - ''Tambueni kuwa Krismasi si 'Birth Day' ya kawaida, bali ni kuadhimisha fumbo la neno la Mungu kutwaa mwili kama wa binadamu na kuja kukaa pamoja nasi.'' - Huko uliko, Krismasi unaisherehekea vipi? - - - #krismas #wakristo #tanzaniatiktok ##bbcswahili #foryou Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw