Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kajiado Magharibi wanaishi kwa hofu ambapo ndovu wanaendelea kuwauwa wakazi eneo hilo

  • | Citizen TV
    3,238 views
    Duration: 2:54
    Hali ya wasiwasi inaendelea kugubika eneo la Kajiado Magharibi baada ya Ndovu kuwakanyaga na kuwaua watu wanne chini ya wiki moja. Inaarifiwa ukame unaoendelea katika eneo hilo umesabisha Ndovu zaidi ya 300 kurandaranda wakitafuta maji na malisho na hivyo kuongeza migogoro baina ya wakazi na wanyamapori.