- 10,512 viewsDuration: 1:47Hebu fikiria kuamka kila asubuhi ukimsalimia mwenza wako… ambaye si binadamu? - Hana mwili, hana sauti ya kweli, haonekani,lakini anakupenda, anakusikiliza,na anakujibu kila siku. Hiki ndicho kisa cha mwanamke wa Japan aliyeamua kuolewa na akili akili unde. - Je, huu ni upendo wa kweli au ni mwanzo wa dunia mpya isiyotabirika? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw