Skip to main content
Skip to main content

Mahujaji wa kitamaduni wafanya maombi ya kila mwaka katika Mlima Kenya

  • | Citizen TV
    516 views
    Duration: 2:27
    Mamia ya mahujaji wa kitamaduni walikusanyika katika kaunti ya Kirinyaga kwa maombi maalum yanayofanyika kila mwaka. Wakiongozwa na wazee kutoka jamii ya Agikuyu, mahujaji hao walifanya maombi kwa ajili ya amani na umoja wa wakenya, haswa wakati huu ambapo joto la kisiasa linazidi kupanda. Aidha, wazee wa jamii pia walifanya maombi kuhusu ustawi wa nchi.