30 Dec 2025 3:55 pm | Citizen TV 141 views Duration: 1:04 Utafiti wa punde zaidi wa kampuni ya Infotrak unaashiria kuwa wakenya wengi wametaja mwaka wa 2025 kuwa mbaya zaidi ikilinganishwa na miaka nyuma.