30 Dec 2025 4:21 pm | Citizen TV 290 views Duration: 1:16 Mackenzie fc wamenyakuwa kwa mara ya tatu mfululizo taji la mchuano wa Makena Junior kwa kuwalaza Shakahola fc mabao matatu kwa moja katika uwanja wa chuo cha kiufundi cha Katine huko Machakos.