30 Dec 2025 4:07 pm | Citizen TV 669 views Duration: 2:48 Viongozi wakuu serikalini wakiongozwa na mkuu wa mawaziri Msalia Mudavadi walijumuika katika ibaada maalumu ya wafu ya aliyekuwa askofu wa kanisa la international vision centre Joseph Likavo