- 290 viewsDuration: 1:07Mbunge wa Kaiti Joshua Kimilu anaitaka serikali kuhakikisha mgao wa shule unatolewa kwa wakati ufaao, shule zinapofunguliwa juma lijalo. Kimilu akisema kuwa kuchelewa kwa utoaji wa mgao kumekuwa kukitatiza shule kwa muda. Alikuwa akizungumza alipoongoza utoaji wa basari za shilingi milioni 30 kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na taasisi za masomo katika eneobunge lake