- 1,333 viewsDuration: 2:58Wandani wa marehemu mbunge wa zamani wa Lugari Cyrus Jirongo wameendelea kusistiza kwamba kuna mengi yaliyo gizani kuhusiana na kifo cha mwanasiasa huyo. Wakizungumza wakati wa mazishi yake huko Lugari, wanasiasa wa magharibi pia wamesema hawana imani na uchunguzi wa serikali kuhusiana na ajali iliyosababisha kifo chake.