- 243 viewsDuration: 1:56Zaidi ya asilimia 80 ya wakenya hawana jema lililowafanyikia mwaka huu wa 2025 wakitaja mahangaiko yaliyosababishwa na gharama ya juu ya maisha. Aidha ufisadi, ushuru wa juu na sera za serikali zikitajwa kama sababu kuu ya mahangaiko yao. Haya ni kulingana na utafiti wa punde zaidi wa kampuni ya infotrak uliofanywa mwezi huu.