Skip to main content
Skip to main content

Askofu Ole Sapit aonya hali ngumu ya kiuchumi huenda ikaendelea kuwakumba Wakenya

  • | Citizen TV
    268 views
    Duration: 1:15
    Askofu mkuu wa kanisa la Anglikana nchini Kenya, Jackson Ole Sapit, ameonya kuwa hali ngumu ya kiuchumi inayowakumba wakenya wengi huenda ikakithiri na kuathiri wakenya zaidi.