Skip to main content
Skip to main content

Papa Leo wa 14 atoa wito wa upendo na imani kwa Wakristo duniani

  • | Citizen TV
    173 views
    Duration: 1:30
    Papa Mtakatifu Leo wa 14 amewataka wakatoliki na wakristo wote duniani kukumbatia upendo duniani kama ilivyodhihirishwa kupitia kuzaliwa kwa Yesu Kristo akiwarai wakristo kuwa na imani kutokana na matendo ya mungu kupitia mwana wake wa pekee