Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kabarnet wakaribisha mwaka mpya kwa sherehe na wito wa umoja

  • | Citizen TV
    191 views
    Duration: 1:32
    Wakazi wa mji wa Kabarnet katika Kaunti ya Baringo walikusanyika katika Bustani ya Kabon kuukaribisha Mwaka Mpya katika sherehe ya kupendeza iliyojaa furaha, burudani na wito mpya wa umoja miongoni mwa jamii za eneo hilo.