Skip to main content
Skip to main content

Wapiga picha wa habari wakiwa nyuma ya risasi, machozi na hatari za kila siku

  • | Citizen TV
    2,089 views
    Duration: 9:25
    Kila unapotazama taarifa zetu kila siku, unayemfahamu zaidi ni msomaji wa habari na mwanahabari anayekujuza yaliyojiri. Hata hivyo, nyuma ya kila picha unayotazama, wapiga picha huwa na jukumu zito kuhakikisha picha ya taarifa zilizojiri zinakupa ufahamu halisi wa mambo yalivyokuwa. Mara nyingi, wapiga picha hujipata kwenye vitoa machozi, hatari ya risasi na hata mara nyingine ghadhabu za wananchi.