Skip to main content
Skip to main content

Oburu Odinga asema ndiye mgombea wa urais ODM mwaka ujao

  • | Citizen TV
    5,257 views
    Duration: 2:17
    Kinara wa chama cha ODM Oburu Odinga sasa anasema ndiye atakayepeperusha bendera ya chama cha ODM katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, ikiwa chama hicho kitafika debeni. Akizungumza katika kaunti ya kwale, Oburu pia amewataka wanaotaka kugombea urais kwa tikiti ya Odm kutafuta kwingine kwani uamuzi wa nani mgombea ushamalizwa