Skip to main content
Skip to main content

Askofu Ole Sapit aishutumu serikali kwa hali ngumu ya maisha na kuonya kuhusu siasa za mvutano

  • | Citizen TV
    612 views
    Duration: 3:02
    Askofu mkuu wa kanisa la kianglikana Jackson Ole Sapit leo ameishtumu serikali kwa kuwasukuma wakenya ukutani kiasi cha kushindwa kujikimu kimaisha na kuonya kuwa siasa za mvutano zikiendelea, wakenya wengi watasalia katika hali ngumu ya maisha. Akizungumza katika kanisa la All Saints wakati wa ibada ya kuukaribisha mwaka mpya, askofu mkuu huyo alisema kuwa ufisadi na gharama ya juu ya maisha zinaendelea kudhoofisha msingi wa uchumi wa nchi