Skip to main content
Skip to main content

Maandamano ya Juni 25 Mombasa yalimalizika kwa amani licha ya mvutano

  • | Citizen TV
    2,321 views
    Duration: 7:46
    Maandamano ya Juni 25 mwaka huu jijini mombasa yalikuwa tofauti sana na kawaida ambapo polisi hukabiliana na waandamanaji na gesi za kutoa machozi kutapakaa kote. Hakukuwa na uharibifu wowote wa mali wala maafa au nipe nikupe na maafisa wa polisi. Kando na hayo, kuporomoshwa kwa jumba lenye ghorofa tisa kulikuwa tukio la kukumbukwa mwaka wa 2025