Skip to main content
Skip to main content

Changamoto za wanahabari kuhakikisha taarifa bora na sahihi

  • | Citizen TV
    1,920 views
    Duration: 2:59
    Kila unapotazamana taarifa za habari, wanahabari mara nyingi hupitia changamoto si haba kuhakikisha unapata taarifa kwa wakati, kwa lugha fasaha na hata kwa kuzingatia sheria na kanuni za uandishi wa habari. Mara nyingine lugha huwa telezi na kwa wengine, hata maneno hupotea wasijue la kusema.