Skip to main content
Skip to main content

Jengo la South C lilikiuka idadi ya ghorofa zilizoidhinishwa kabla ya kuporomoka

  • | Citizen TV
    3,393 views
    Duration: 2:43
    Jengo lililoporomoka leo katika mtaa wa South C hapa Nairobi lilikuwa limepitisha idadi ya ghorofa zilizoidhinishwa na asasi za serikali. Wamiliki wa jengo hilo wakifikishwa mahakamani mara kadhaa na kuachiliwa kabla ya jengo hilo kuporomoka leo asubuhi. Jengo hilo ni miongoni mwa majengo mengine yaliyoporomoka kwa ukiukaji wa sheria ya ujenzi licha ya tahadhari kutolewa mapema