- 1,198 viewsDuration: 2:24Kumekuwa na pilka pilka kwenye maduka ya vitabu na bidhaa za shule huku wazazi wakilalamikia gharama ya juu ya kuwaandaa watoto kurejea shuleni. Japo baadhi ya wafanyabiashara wameendelea kuimarika kwa biashara, wengine wakilalamikia hali ngumu huku wanafunzi wakitarajiwa kuripoti shule siku ya jumatatu.