- 8,148 viewsDuration: 3:06Polisi kaunti ya Kisii wameanzisha msako wa genge la vijana linaloendeleza uhalifu uliosababisha kifo cha kijana mmoja na wengine kadhaa wakijeruhiwa. Waathiriwa wakiwachwa na majeraha ya mapanga na visu. Kwa mujibu wa wenyeji, washirika wa genge hilo wamekuwa wakizunguka na pikipiki kutekeleza uhalifu