- 920 viewsDuration: 3:27Muhula wa kwanza wa masomo umeanza rasmi hii leo, huku mamilioni ya wanafunzi kote nchini wakirejea shuleni baada ya likizo. Shule za umma ziliwapokea wanafunzi huku baadhi wa shule za kibinafsi zikijitayarisha kuanza masomo kesho na wengine jumatano