Skip to main content
Skip to main content

Je unalikumbuka goli la mkono wa ‘mungu’?

  • | BBC Swahili
    2,880 views
    Duration: 2:51
    Je unalikumbuka goli la mkono wa ‘mungu’? lilifongwa na Diego Armando Maradona? The Hand of God! Moja ya matukio yenye utata zaidi katika katika historia ya soka ya kombe la Dunia. Phillys Mwatee anatudadavulia kwa kina Kutazama taarifa hii kwa urefu zaidi tembelea YouTube ya BBCSwahili 🎥: @brianmala #bbcswahili #soka #kandanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw